STREET FIGHTERS ni kikundi kilichoanzishwa mwaka 2012 kikiwa na member wapatao 20 kikiwa chini ya Mwenyekiti Gamshald Hamidu na Mweka hazina Saidi khamisi Gede pamoja na Nidhamu Fadhili
Sakwaji ni kikundi kinachohusika na kusaidia jamii katika mambo ya kila siku kama misiba na sherehe na kila mwisho wa mwaka hufanya sherehe kubwa kuadhimisha kuanzishwa kwa kikundi hicho na huwa wanapenda na kila mtu anaependa huungana nao katika hilo. Pia wanabidhaa zao kama vile t shirt zenye logo yao kama inavyoonekana hapo juu. Hiyo ni logo inayotumika mwaka huu unaweza kupata t shirt hiyo kwa shilingi 15000/= tu. Pia mwaka huu 2014 Street Fighters wameanzisha kikundi cha wadada ambacho kinaitwa Street Fighters dadaz ni kikundi ambacho kinaungana na wadada wote watakaopenda kusheherekea siku ya mwaka mpya.
Unaweza kuungana nasi kama umevutiwa kwa kupiga simu kwa mwenyekiti kupitia namba 0653030530
AHSANTENI SANA
kuanzia kushoto ni Saidi Gede , Michael , Daniel ,Gamshald
STREET FIGHTERS MEMBERS
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni